Wakaazi Nakuru watumia mbwa kukabiliana na mnyama Nyani na Tumbiri
13th June, 2015
Mzozo baina ya wanyama pori na binadamu umewalazimu wakulima mtaani Gatongu eneo la Kabazi kaunti ya Nakuru kutumia mbwa kama njia ya kukabiliana na mnyama Nyani na Tumbiri wanaovamia na kuharibu mashamba.