Mbunge wa Kiharu Irungu Kang’ata adai kuwa makundi ya mashoga na wasagaji yanaifadhili mahakama
4th June, 2015
Mbunge wa Kiharu Irungu Kang’ata mapema leo ameitaka mahakama kuu kutoa kauli zake kuhusu habari kwamba makundi ya mashoga na wasagaji yamekuwa yakiifadhili mahakama. Kangata anadai kwamba huenda ufadhili huo ndio uliifanya mahakama kutoa uamuzi wa kuidhinisha makundi hayo kunzisha vyama vyao.