Mazishi ya ajabu: Marehemu lazima azungushwe mjini siku mbili ili auage mji
23rd May, 2015
Duniani kumejaa dini na madhehebu yaliyo na imani na desturi mbali mbali ambazo waanzilishi na wafuasi huzifuata ili kuzitosheleza imani zao. Lofty Matambo anatupa tarifa ya mazishi ya ajabu ya dhehebu la Jerusalem church lake Mary Akutsa ambapo wanaamini marehemu lazima azungushwe mjini siku mbili katika urefu usiopungua kilo mita ishirini ili auage mji ndiposa aende peponi kwa amani.