×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

SIKU YA KINA MAMA DUNIANI: Jamii yapewa hamisisho la maradhi ya Lupus

10th May, 2015

Wakenya wanaoathirika na ugonjwa wa Lupus walijiunga na wengine kote duniani kusherekea siku ya wagonjwa wa maradhi hayo. Ugonjwa huo umetajwa kutoeleweka pakubwa na wengi kwani huathiri pakubwa viungo vingi vya mwili. Wagonjwa wa maradhi haya pia wamelalamikia kuhusu kuwepo kwa viwango vya juu vya unyanyapaa, hata hivyo kumekuwepo na kampeini za kuwahudumia wagonjwa hao humu nchini.
.
RELATED VIDEOS