Mtu mmoja aaga dunia baada ya kuangukiwa mchanga katika timbo ya mlima ugali Nakuru
22nd February, 2015
Mtu mmoja ameaga dunia baada ya kuangukiwa na kufukiwa na kifusi cha mchanga alipokuwa akichimba katika timbo ya mlima ugali eneo la Barut kaunti ya Nakuru.