Mahakama yawaachilia wanawe marehemu Ibrahim Akasha kwa dhamana
9th February, 2015
Mahakama kuu ya mombasa imewapa watoto wawili wa marehemu mlanguzi wa mihadarati Ibrahim akasha dhamana ya shilingi milioni thelathini kila mmoja. badala ya shilingi milioni 5 waliyopewa awali