Hisia za Jubilee kuhusu kifo cha mbunge wa Kabete George Muchai
8th February, 2015
Siku moja baada ya kifo cha mbunge wa Kabete George Muchai, hisia mseto zinaendelea kuibuka, wabunge kutoka Mrengo wa Jubilee wameataka kudumishwa kwa usalama , huku watetezi wa haki za umma wakisisitiza kauli hiyo Hussein Mohammed anaarifu.