Wakenya wafurahishwa na tangazo la kupunguzwa kwa bei ya mafuta
15th January, 2015
Wakenya wameelezea kufurahishwa kwao kufauatia tangazao la kupunguzwa kwa bei ya mafuta. Lakini licha ya kushuka kwa bei ya mafuta kwa asilimia 20 katika kipindi cha miezi sita bei ya bidhaa muhimu kama vile ugali na sukari imesalia vile vile. Kwa sasa shirika la COFEK linaloushughulikia maslahi ya wanunuzi imeitaka serikli kushukisha bei ya bidhaa muhimu.