Pombe ya mnazi ina uwezo wa kubuni nafasi nyingi za biashara
7th December, 2014
Miongoni mwa jamii ya wamijikenda pombe ya mnazi ina uwezo wa kubuni nafasi nyingi za biashara na hivyo kuwa kitega uchumi katika kaunti zao. Je wagemaji wamefaidika vipi na kwa kiwango gani au wanapunjwa tu na madalali? John Juma alizuru soko la Pombe ya Mnazi huko Kilifi ambapo wito wa wagema ni kuwa watengenezewe kiwanda cha kisasa cha kugema pombe hiyo iliyohalalishwa na serikal