×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Ligi kuu ya mpira wa magongo humu nchini inatazamiwa kukamilika wikendi

5th December, 2014

Ligi kuu ya mpira wa magongo humu nchini inatazamiwa kukamilika wikendi hii huku timu kadhaa zikiwania nafasi za kutwaa ubingwa mwaka huu. Katika fainali ya wanaume mabingwa watetezi Kenya police watakua na kibarua kigumu kulitetea taji lao watakapochuana na mahasimu wao wa jadi kisumu simba .sikh union watapambana na wazalendo kuwania nafasi ya 3 na 4 mtawalia. Katika nusu fainali upande wa kina, Orange Telcom itakuwa na kibarua dhidi ya sliders huku chuo kikuu cha Strathmore kikipambana na chuo kikuu cha USIU. Katika mpira wa vikapu Co-operative Bank watachuana na kpa katika mechi ya kubaini mshindi atakayeshiriki kwenye fainali itakayoandaliwa jaunti ya Mombasa. Upande wa kina dada Co-operative bank na storms watasubiri kuchuana na wapinzani wao kpa na chuo cha usiu ambao wako nchini tunisia kwa mashindano ya fiba.
.
RELATED VIDEOS