Familia za maafisa waliouwawa Kapedo wafika Chiromo mortuary kutambua miili ya wapendwa wao
3rd November, 2014
Familia za maafisa waliouwawa katika eneo la Kapedo huko Turkana walifika katika chumba cha kuhifadhia maiti cha Chiromo ili kutambua miili ya wapendwa wao