×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Ubishi waongezeka kwenye chama cha UDF baada ya tangazo la kumtimua seneta Khalwale na wengine

27th October, 2014

Chama cha UDF kimewavua uanachama, mwenyekiti wake Hassan Osman, Seneta wa Kakamega Bony Khalwale na Seneta maalum Martha Wangari. Katika kikao maalum cha baraza kuu, hapa Nairobi, wajumbe hao vilevile walipitisha azimio la kubadilisha jina la chama kutoka UDF hadi ANC, likimaanisha Amani National Congress.
.
RELATED VIDEOS