×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Serikali ya Kenya yalaumiwa kwa kushindwa kuwatetea raia wake wanaofanya kazi Mashariki ya Kati

22nd October, 2014

Serikali ya Kenya imelaumiwa pakubwa kwa kushindwa kuwatetea raia wake wanaofanya kazi za ujakazi Mashariki ya Kati. Siku chache baada ya Wizara ya Leba kupiga marufuku mawakala wote wanaowapa Wakenya ajira Ughaibuni, Wakenya ambao sasa wanahudumu hasa nchini Saudi Arabia wameendelea kupitia mahangaiko bila kuona mkono wa ubalozi wa Kenya. Saida Swaleh
.
RELATED VIDEOS