×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Mahakama ya Mombasa imeamua kuwa mshukiwa wa ugaidi Germaine Grant ana kesi ya kujibu

2nd October, 2014

Mahakama ya Mombasa imeamua kuwa mshukiwa wa ugaidi germaine grant ana kesi ya kujibu. Raia huyo wa uingereza anakabiliwa na tuhuma kumi zikiwamo udanganyifu akikusudia kupata uraia wa kenya. Hakimu anastacia ndun’gu wa mahakama ya shanzu amesema kwenye kauli za kiongozi wa mashtaka zipo tuhuma zenye uzito unathibitisha kwamba mshukiwa ana kesi ya kujibu.
.
RELATED VIDEOS