Mwanafunzi mmoja amesalia kuuguza majeraha baada ya kupigwa risasi na Afisa wa Polisi
2nd October, 2014
Mwanafunzi mmoja katika shule ya msingi ya banane kaunti ya garrisa amesalia kuuguza majeraha baada ya kupigwa risasi na afisa wa polisi kisa ni utata unaosemekana kutokana na simu ya rununu.kulingana na familia hiyo haijafahamu kilichompelekea afisa huyo kummiminia risasi mwanafunzi huyo huku wengi wakishuku kuwa afisa huyo alikuwa mlevi wakati alipotenda kitendo hicho.