×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

SEX WORKERS DEMO: Makahaba wafanya maandamano Jijini Nairobi

11th September, 2014

Baadhi ya makahaba wamefanya maandamano kulalamikia kuawa kwa mmoja wao usiku wa kuamkia leo huko kayole. Kulingana na makahaba hao mara ya mwisho kwa mmoja wao kuonekana alikuwa na mmoja wa Maafisa wa Polisi na sasa wanaitaka afisi mamlaka ya kusimamia maswala ya polisi IPOA kuhakikisha kuwa sheria haki inatekelezwa dhidi ya mauji hayo.
.
RELATED VIDEOS