×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Polisi watumia vitoa machozi kuwatawanya waliokwa wakizua rapsha katika Barabara Kuu ya Thika

9th September, 2014

Maafisa wa polisi katika Barabara Kuu ya Thika, eneo la Githurai walilazimika kutumia vitoa machozi kuwatawanya wananchi waliofunga barabara hiyo wakilalamikia hukumu iliyotolewa kwa askari mmoja kwa mauaji ya watu wawili katika eneo hilo. Ni tukio lililowastaajabisha wengi, kwani aliyekuwa akitetetewa na raia kwa wakati huu alikuwa ni afisa wa polisi.
.
RELATED VIDEOS