Wakaazi wa Tana River watoa kilio chao kuhusu ukame
19th August, 2014
Wenyeji wa eneo la boka huko Tana River wameelezea kilio chao kuhusu hatari ya ukame wakisema wako katika hali mbaya. Hamza yussuf alitembelea wakaazi hao na kutuandalia taarifa ifwatayo.