×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Mwanafunzi afa maji baada ya kuhudhuria tamasha ya muziki huko Pwani

11th August, 2014

Huzuni imekumba tamasha ya muziki kwa wanafunzi inayoendelea huko mjini Mombasa baada ya mwanafunzi mmoja kutoka eneo la kitale kufa maji pale alipokuwa akiogelea baharini. Kutokana na kisa hiki kamati inayosimamia tamasha hiyo sasa imeonya wanafunzi dhidi ya kuogelea baharini na kuwatahadharisha dhidi ya kuzuru maeneo hatari.
.
RELATED VIDEOS