×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Tamasha la Kitaifa la muziki laingia siku ya tatu Mombasa

6th August, 2014

Tamasha la kitaifa la miziki kwa shule za humu nchini limeingia siku ya tatu mjini mombasa huku idara ya usalama ikisema kuwa zaidi ya maafisa wa polisi 300 wanashiriki katika kuimarisha usalama wakati wa tamasha hilo. na jinsi john juma anavyoripoti kando na mashindano, burudani na maudhui makuu pia yanajitokeza mfano kupiga vita ugaidi, kukuza maadili na upatanisho wa jamii.
.
RELATED VIDEOS