×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Wakala wa wanamichezo wa Siera Leone waliokua humu nchini azungumzia kuhusu hofu ya Ebola

3rd August, 2014

Ugonjwa wa Ebola umezua taharuki kubwa katika bara la Africa hususan katika mataifa ya magharibi mwa Africa. Taifa la Kenya halijasazwa kwenye hofu hii ni baada ya wachezaji kutoka taifa la sierra Leone kusalia humu nchini baada taifa la ushelisheli walikokuwa wakielekea kwa michuano ya mashindano ya bara Africa kukataa kuwapokea. Hussein Mohammed na maelezo zaidi kuhusu usiri mkubwa uliokuwepo kwa muda wa siku mbili tangu kuwasili na hata kuondoka kwa timu hiyo
.
RELATED VIDEOS