×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Shule ya State House Girls wapokea basi mpya kutoka kwa Rais Uhuru Kenyatta

25th July, 2014

Rais Uhuru Kenyatta hii leo aliwafurahisha wanafunzi wa shule ya upili ya statehouse girls kwa kuwanunulia basi la shule . rais kenyatta ambaye aliwasili kwenye shule hiyo akiwa ndani ya basi hilo alilakiwa na wanafunzi hao kwa furaha kuu. Baada ya kushuka rais alisindikizwa na gwaride la wanaskauti wa shule hiyo hadi kwenye sherehe ya kuwapa hidaya hiyo wanafunzi hao akishirikiana na mkewe margret kenyatta mapema katika sherehe hiyo wanafunzi hao wa kike walikuwa wamekariri shairi la kumsihi mkewe rais kuwasaidia kununua basi jipya kwani lile walilokuwa wakitumia limechakaa. rais kenyatta alikuwa amewaahidi wanafunzi hao basi mara ya mwisho alipowatembelea.
.
RELATED VIDEOS