Timu iliyowakilisha Kenya Bahamas yarejea nyumbani na matokeo ya kuridhisha
28th May, 2014
Timu iliyowakilisha Kenya kwenye makala ya kwanza ya mashindano ya mbio za kupokezana vijiti Nchini Bahamas ilirejea nyumbani jana usiku na kupokea mapokezi kabambe kufuatia matokeo yao ya kuridhisha.kenya ilimaliza katika nafasi ya tatu nyuma ya Jamaica na Marekani.