Visa vya uhalifu vyaongezeka Nyeri
10th January, 2014
Leshimpiro amewawataka maafisa wa usalama wa Nyeri kuwajibika zaidi katika kukabiliana na visa hivi hasa baada ya kisa cha hapo jana ambapo mshukiwa mmoja wa ujambazi aliuawa na wenzake wawili kukamatwa na bunduki aina ya tokalev katika eneo la ithe kahuno katika eneo bunge la Tetu .