22nd March, 2022
Polisi wamepewa ruhusa kumzuilia kwa kipindi cha siku saba katika kituo cha polisi cha Kakamega Perine Pinquet Maero muuguzi kutoka kakamega ambae inadaiwa aliwaua watoto wake wawili kwa kuwanyonga na kudai walipewa sumu kabla ya kujaribu kujitoa uhai. Uchunguzi ukionyesha watoto hao wawili huenda walidungwa dawa ya kupoteza fahamu kabla ya kunyongwa.