Aliyekuwa Kiongozi wa Kanisa Katoliki, Papa Benedict wa kumi na sita amezikwa.
Papa Benedict amezikwa baada ya misa iliyoongozwa na Kiongozi wa Sasa wa Kanisa hilo, Papa Francis na imefanyika katika Kanisa la St. Peters Squire, Vatican.
Maelfu ya watu waliohudhuria mazishi hayo ni wakiwamo viongozi mashuhuri kutoka familia za kifalme kote Uropa kama vile Uingereza, Uhuspania, Ujerumani na Ureno....