×
The Standard Group Plc is a multi-media organization with investments in media platforms spanning newspaper print operations, television, radio broadcasting, digital and online services. The Standard Group is recognized as a leading multi-media house in Kenya with a key influence in matters of national and international interest.
  • Standard Group Plc HQ Office,
  • The Standard Group Center,Mombasa Road.
  • P.O Box 30080-00100,Nairobi, Kenya.
  • Telephone number: 0203222111, 0719012111
  • Email: [email protected]

Mwanamme afungwa jela miaka 45 kwa kumnajisi mtoto

News

Mwanamume mwenye umri wa miaka 45 amefungwa jela kwa miaka 45 baada ya kukiri kosa la kumnajisi mtoto wa miaka miwili.

Mahakama imeambiwa kuwa Erasus Kariuki mwenye umri wa miaka 39, alikuwa kanisani katika eneo la Zimmerman, Kaunti ya Nairobi ambapo alimfanyia unyama huo mtoto huyo.

Akijitetea, Kariuki amemlaumu shetani kwa kumsukuma kumnajisi mtoto huyo mwenye umri wa miaka miwili Julai tarehe 3 mwaka huu. 

Mahakama jijini Nairobi imeambiwa kuwa mshukiwa alikuwa amehudhuria hafla ya harambe kanisani humo ambapo alitoa mchango wake wa shilingi 100 kisha kumnajisi mtoto huyo kanisani.

Wakati wa tukio hilo waumini waliosikia kilio cha mtoto huyo akiwamo mamake walikimbia kumwokoa huku akikabiliwa kabla ya kuokolewa na polisi.

Mtoto huyo anaendelea kutibiwa katika Hospitali ya Komarock Modern Hospital.

Related Topics


.

Popular this week