For the best experience, please enable JavaScript in your browser settings.
This hilarious hashtag has brought forth endless funny phrases about things that Kenyans find stupid. Here is the best collection that the writer found online.
1. Jana, nilikutana na boy fulani akaniuliza
mbona nimekunja uso. ,nikamjibu, nataka
kuiweka kwa Bag. Sababu mi sipendi ujinga.
2. Juzi neighbor yangu alikuja akaniambia
nipunguze sauti ya radio anataka kulala.Jana
akipika chapoo na mimi nkamwambia apunguze
harufu ya chapati nataka kula ugali. Saa hii tuko
kwa landlord tunaongea hio maneno. Ju sipendi
ujinga
3. Ushawahi katia mrembo sana mpaka
anakushow uende kwao akuna mtu kufika
unapata pia yeye hayuko......KUMBE HUYO
MREMBO HAPENDI UJINGA
4. Sasa polisi anatusimamisha eti juu number
plate ya nyuma na ya mbele haifanani, alafu
beshteangu anamuuliza kama uso yake na
matako inafanana.......mi imebidi nicheke sai
tuko central ndo napatiana simu, so nitakua
mteja kiasi .Hata polisi kumbe hawatakangi
ujinga.
5. Ex wangu amenicall kuitisha earphones
zake..nmempelekea earphones nkachukua simu
yangu..nmemwacha akiziconnect kwa radio. Hata
mimi nmerealise sipendangi ujinga.
6.Nimeenda hosi kupimwa ugonjwa,results kukam
doc ananisho ati choo yangu ni mbaya....sai
najenga ingine, sipendingi ujinga mimi
7. *After sex dem anakuambia umpee panty
ilianguka chini ya bed, unapata ni mbili na
hukumbuki yake ilikuwa colour gani...*Hapo ndio
unatambua ufisi pia haitakangi ujinga*
8 . Nlitoka rave 3am juzi.Kufika Moi avenue taxi
ya home inalipisha 1500 na basi ya kwenda
mombasa inalipisha 700,Nlienda Mombasa na
700 nkarudi na 700 na nkabaki na mia.sitakangi
ujinga mimi.
9. Mlevi anapanda gari alafu coda anamuuliza"na
hii ulevi yako utaenda mbinguni kweli"mlevi
akamjibu"kama mnaenda mbinguni simamisha
gari nishuke Mimi naenda tu apa ngara.......…..
.......PIA MLEVI HAPENDI UJINGA
10.Mtoi wa neighbour amenizoea sana.
nikimtuma kitu kwa duka anakula tu. juzi
nilimtuma mkate akaila, jana nikamtuma blue
band akala. leo nimetuma super glue, saa hii
haongei.ujinga sipendi!..