Story
Mafuta ya nazi. [Picha/Standard]

Zaidi ya tafiti 1500 zimethibitisha kuwa mafuta ya nazi ndio mafuta bora zaid chini ya jua. Mafuta ya nazi ni dhahabu kwa afya ya mwili na ngozi kwa ujumla. Bidhaa nyingi za vipodozi zimechunguzwa na zikagunduliwa kuwa kuongezwa mafuta ya nazi ndani yake, ili kupata faida za mafuta haya ni lazima yawe ni ya asili, hayajachanganywa na kingine chochote au kemikali yoyote, na yakiwa hivyo hujulikana kama mafuta bikra ya nazi (vigin coconut oil).

Nyingi ya faida za mafuta ya nazi ni matokeo ya kuwa na asili mafuta muhimu sana yajulikanayo kama ‘’Lauric’’.  Lauric ni mafuta muhimu ambayo yana udhibiti mzuri dhidi ya bakteria, fangasi, sumu, vijidudu nyeweleni na maambukizi muhimu sana na hivyo kufanya dawa mbadala muhimu kuwa nayo.

Mafuta ya nazi yanaweza kutumika kuongeza kinga ya mwili kuzuia matatizo kwenye mfano wa upumuaji, kuponya matatizo katika figo, kutibu shinikizo la damu, kupunguza hatari ya kisukari na kadhalika. Matumizi ya mara kwa mara ya mafuta ya nazi yanaweza kuongeza umeng’enyaji wa asili, amiroo, madini, vitamin muhimu na hivyo yanaweza kuboresha mwonekano wako kwa jumla. Ndio maana si jambo la kushangaza kuona bidhaa nyingi kama vipodozi,sabuni na zile dawa za nywele baina yake zikiongezwa mafuta ya nazi! Kuna faida nyingi za kushangaza katika mafuta ya nazi kwa ajili ya afya na urembo kama vile:

  1. Huzuia na kutibu tatizo la kupoteza kumbukumbu

Wakati mafuta ya nazi yakimeng’e nywa na mwili huwamasisha uundaji wa nguvu mpya za ubongo zijulikanazo kama ‘ketones’. Ketones zina uwezo wa kusambaza nguvu katika ubongo hata kuwa insulin itakuwa chini ya kiwango kama matokeo ya ugonjwa wa kupoteza kumbukumbu (Alzheimer). Insulin kazi yake kubwa ni kushughulikia sukari (glucose) na hivyo kuzipa nguvu seli za ubongo.

  1. Huzuia uwezekano wa kupata kansa

Matumizi ya mafuta ya nazi yana uwezo wa kupigana na seli za kansa. Tafiti za hivi karibuni zinasema kitu chochote chenye uwezo wa kutengeneza nguvu ubongo kusaidia pia kuzuia kusambaa kwa seli za kansa mwilini. Zaidi ya hapo ni kuwa mafuta haya yana uwezo wa kudhibiti bakteria ajulikanaye kama ‘’helicobacterpylor’’ ambaye husababisha vidonda vya tumbo.

  1. Yanaongeza nguvu na uvumilivu

Mafuta haya yana uwezo wake wa kuongeza uvumilivu. Hii ndio sababu wakimbia mbio wengi hupendelea kutumia mafuta ya nazi kwa changanya

kijiko kidogo kingine cha asali mbichi unywe pamoja na mchanganyiko huu kila siku kutwa mara moja kabla ya kwenda mazoezi au kazi ngumu yoyote.

  1. Dawa nzuri kwa matumizi ya mifupa

Ugonjwa wa mifupa husababishwa na vijidudu nyewelezi na mfadhaiko wa mwili wa muda mrefu. Mafuta ya nazi yanaviondoa sumu vyenye nguvu zaidi ambavyo vinaweza kuulinda mwili wako y kwa mafuta dhidi ya vijidudu nyewelezi zaidi, na fuulizi mafuta ya nazi yanaweza kurahisisha umengenyaji wa madini ya kalswim tumboni mwako. Upungufu wa madini ya kisilam mwilini husababisha mifupa kuwa hafifu, jambo linalosababisha kuleta ugonjwa wa mifupa (osteoporosis). 5. Huondoa mfadhaiko (stress)

Mfadhaiko ni jambo lisiloweza kuepukika katika maisha yetu.Unapofadhaika, mwili wako huwa na shauku ya kufanikiwa. Zaidi na unapozidi mfadhaiko kwa muda mrefu unaweza kuleta madhara makubwa kwa muhusika, kihisia na hata kinewili. Tafiti zimeonyesha mafuta ya nazi yana uwezo wa kupunguza mfadhaiko wa akili. Aina ya aside (acid) za mafuta zilizomo ndani ya mafuta ya nazi ndizo zilizohusika na kazi hii muhimu.    

  1. Dawa ya jino kulizuia kuoza

Huzuia kuoza kwa jino na magonjwa ya fizi. Hivyo ni moja ya kazi nyengine ya mafuta ya nazi yanayoweza kuthibiti bakteria wabaya. Ili kuzuia kuoza kwa meno, unahitaji tu kutumia mafuta yako ya nazi kama dawa ya mswaki kila siku. Vile vile unaweza kuongeza kijiko kidogo kimoja cha mafuta ya nazi ndani ya kikombe kimoja cha maji moto ili kutengeza dawa ya kusafisha mdomo (mouth wash). 

  1. Dawa ya figo

Yanaondoa mawe katika figo na kibofu cha mkojo. Nazi yenyewe pamoja na mafuta yake huwa na aside ya mafuta muhimu sawa na zile ambazo huhamasisha undwaji wa tiba aina ya “monocotorial”ambayo hufanya kazi ya kuyeyusha mawe katika kibofu cha mkojo na figo.